Nilichoma kaquarter
Na sembe mlima
Napima matumbo
Na sembe ya juzi
Nilivaa Levi Straus
Na kuendesha brand new
Navaa kamtumba
Na kuchukua k-buu
Nilisomea boarding
Na kujob kwa office
Wajunior wamefukuzwa chuo
Nasakanya kibarua
Nilibounce
Kuheng na masupuu na mabeshty
Nadrag jumu;sole zaisha
Na kuteremsha na kairasy
Great were 'em days
The future even brighter
I've hit rock bottom
But light awaits at the end of the tunnel